ELIMU YA UJUZI NJIA YA TANZANIA YA VIWANDA
SAMIA SKOLASHIPU DS/AI+ KUONGEZA WATAALAMU WA TEKNOLOJIA NA TAKWIMU
UWEKAJI WA MTAMBO WA KUFUA UMEME KATIKA KITUO CHA MAFUNZO YA NISHATI JADIDIFU KIKULETWA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 85
Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu cha Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kilichopo katika Kampasi ya Kikuletwa, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, kimekusudiwa kuwa kitovu cha mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa chuo hicho.
ATC KIKULETWA KUWA KITOVU CHA MAFUNZO YA NISHATI JADIDIFU AFRIKA MASHARIKI
Imeelezwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kupitia mradi wa EASTRIP ili kukifanya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), kupitia Kituo cha Umahiri Kikuletwa, kuwa kitovu cha mafunzo ya nishati jadidifu kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
MKENDA AZINDUA UGAWAJIA WA VIFAA SAIDIZI NA VYA KIELIMU VYA SH. BILIONI 5.3
KAMPASI YA UDSM YA LINDI KUWA KITOVU CHA KILIMO NA TEKNOLOJIA
VIFAA VYA TEHAMA VITABORESHA UFUNDISHAJI KWA WALIMU WENYE UHITAJI MAALUMU - DKT. MATONYA
Mkurugenzi wa Elimu Maalum, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Magreth Matonya, amesema Serikali imeendelea kuboresha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji kwa walimu wenye uhitaji maalumu nchini.
MATUMIZI YA TEKNOLOJIA NI LAZIMA KWA WALIMU WA KARNE YA 21 - DKT. MTAHABWA
Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwene Mtahabwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inazingatia elimu jumuishi na yenye ubora stahiki.
WAZIRI MKENDA AKABIDHI MAGARI KW A WATHIBITI UBORA WA SHULE
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Januari 5, 2026 jijini Dodoma, amekabidhi magari manne yenye thamani ya Sh. milioni 904.84 kwa Wathibiti Ubora wa Shule nchini. Hatua hii inalenga kuwawezesha kufuatilia na kuimarisha huduma za utoaji wa elimu bora kwa wote, ikiwemo watoto wenye mahitaji maalum.

