ELIMU YA UJUZI: NJIA YA TANZANIA YA VIWANDA
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema VETA ni nguzo muhimu katika kuandaa nguvu kazi yenye ujuzi kwa sekta za ukarimu na utalii, ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika pato la taifa.



