KAMPASI YA UDSM YA LINDI KUWA KITOVU CHA KILIMO NA TEKNOLOJIA

Kampasi ya Lindi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam itajikita katika program za Kilimo, Sayansi ya Udongo, Teknolojia na Usindikaji wa Vyakula.



Akizungumza katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Lindi, Disemba 20, 2025 Makamu Mkuu wa UDSM Prof. William Anangisye amesema program nyingine ni Biashara za Kilimo, pamoja na maeneo shirikishi ikiwemo Madini, Mazingira na Ulinzi wa Mambo ya Kale.

Swahili

NAIBU WAZIRI AMEIR AWATAKA WANAFUNZI SUZA KUTUMIA FURSA ZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amewataka wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kutumia fursa ya mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), ili waweze kujiendeleza kielimu na hatimaye kuwa rasilimali muhimu kwa jamii na taifa kwa ujumla.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS