SHEIKH MKUU WA TANZANIA APONGEZA LALJI FOUNDATION KWA KUSAIDIA ELIMU YA WATOTO WASIOJIWEZA

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber Ali Mbwana, ameipongeza Taasisi ya Lalji Foundation kwa jitihada za kutoa misaada kwa watoto yatima na wasiojiweza, akisisitiza kuwa ni matendo yenye thawabu kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu.



Kiongozi huyo ametoa pongezi hizo Januari 10, 2026 jijini Dar es Salaam katika hafla ya ugawaji wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi kutoka vituo vya kulea watoto yatima, chini ya ufadhili taasisi hiyo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS