Serikali inaendelea kuondoa vikwazo vya kupata elimu kwa kutolewa kwa elimu ya msingi bila ada
Serikali inaendelea kutekeleza afua mbalimbali ikiwemo kuondoa vikwazo vya kupata elimu kwa kutolewa kwa elimu ya msingi bila ada, kuifanya elimu ya lazima kuwa miaka 10, kutekeleza programu zenye lengo la kuwafikia Watanzania waliokosa fursa za elimu.




