Mhe. Omari Kipanga wakijadili jambo na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso
BUNGENI LEO
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga wakijadili jambo na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Bungeni Februari 6, 2024.

Swahili
BUNGENI LEO
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga wakijadili jambo na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Bungeni Februari 6, 2024.

BUNGENI LEO
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiteta jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Patrobas Katambi Bungeni Februari 6, 2024.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeazimia kuwa na Mfumo shirikishi wa kuandaa, kuratibu na kuchambua tafiti za kielimu kwa lengo la kuwezesha matokeo ya tafiti zinazofanyika kuwa na tija katika kuendelea kuimarisha Sekta ya Elimu nchini kwa wadau wote.