Viongozi Mbalimbali wa Wizara wakiongozwa na Kamishna wa Elimu wakifuatilia Uwasilishwaji taarifa za Kamati ya Kadumu ya Bunge ya Elimu

Viongozi Mbalimbali wa Wizara wakiongozwa na Kamishna wa Elimu wakifuatilia Uwasilishwaji taarifa kuhusu shughuli za Kamati ya Kadumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Husna Sekiboko Bungeni leo Februari 7, 2024.
 

Swahili

Prof Adolf Mkenda na Naibu Waziri Omari Kipanga wakifutilia Uwasilishaji taarifa kuhusu shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda na Naibu Waziri Omari Kipanga wakifutilia Uwasilishaji taarifa kuhusu shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ikiwasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Husna Sekiboko.

Swahili

Ubalozi wa Uingereza na Wizara ya Elimu Kuimarisha Mfumo wa Utekelezaji Miradi

Ubalozi wa Uingereza Nchini umejipanga kuimarisha mfumo wa utekelezaji miradi wanayofadhili katika sekta ya Elimu nchini ili iendani na Mageuzi ya Elimu nchini.



Hayo yamesemwa na Naibu Balozi na Mkurugenzi wa Maendeleo- Ubalozi wa Uingereza Nchini Bibi Kemmy Williams ambae amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Jijini Dodoma.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS