WIZARA YA ELIMU NA ELIMU MATOKEO WAZUNGUMZIA MAGEUZI YA ELIMU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, Januari 26, 2026 jijini Dodoma, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu (CEO) wa Taasisi ya Elimu Matokeo, Bi. Rakshita Vaya, kwa lengo la kujadili maboresho ya mfumo wa elimu nchini.



Taasisi ya Elimu Matokeo inalenga kubadilisha mfumo wa elimu kwa kutoa programu bora, jumuishi na zinazopatikana kwa urahisi ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa ngazi mbalimbali pamoja na jamii kwa ujumla.

Swahili

TÜRKİYE SCHOLARSHIPS FOR THE ACADEMIC YEAR 2026/2027

1.0     Call for Applications

The general public is hereby informed that the Türkiye Scholarships program for the academic year 2026/2027 is open for eligible Tanzanians to pursue Bachelor, Master, and PhD studies in Turkey. Eligible candidates are encouraged to apply. Further details are available on the website: www.turkiyeburslari.gov.tr.

2.0 Application requirements

Applicants must fulfil the following criteria:

Swahili

DKT. HUSSEIN OMAR: VIKUNDI VYA WAHITIMU WA VETA KUTUMIA MFUMO WA MANUNUZI WA SERIKALI KUPATA MASOKO

Naibu Katibu Mkuu wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Omar, amesema changamoto kubwa kwa wahitimu wa Vyuo vya Ufundi (VETA) siyo mtaji pekee bali ni soko la bidhaa na huduma zao, hivyo suluhisho ni kuanzisha vikundi vya uzalishaji (clusters) vitakavyowawezesha vijana kujikusanyia mtaji na kupata masoko ya uhakika kupitia mfumo wa manunuzi ya Serikali.

Swahili

KAMATI YA BUNGE YASHUHUDIA VETA CHEMBA YAKITUMIA MITAMBO YA KISASA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ikipata maelezo ya vifaa na mitambo ya kisasa ya kufundishia na kujifunzia katika karakana ya Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Chemba januari 24, 2026.



Mitambo na vifaa hivyo sehemu ya vimenunuliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na kusambazwa katika vyuo 54 vya VETA nchini.

Swahili

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ELIMU, UTAMADUNI NA MICHEZO YAPONGEZA MABORESHO YA SERA NA MITAALA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepongeza mageuzi makubwa yaliyofanywa katika Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 (Toleo la 2023) pamoja na Mitaala iliyoboreshwa, ikielezwa kuwa hatua hiyo italeta mabadiliko makubwa katika ajira kwa vijana na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS