WARAKA WA ELIMU NA. 4 WA MWAKA 2022 KUHUSU UIMARISHAJI WA MAZINGIRA YA SHULE KUWA SALAMA NA WEZESHI KATIKA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI
MoEST Weekly: ELIMU KIDIJITALI, HITAJI SIYO CHAGUO
UJENZI WA VETA ZA KISASA NI MSINGI WA KUIMARISHA ELIMU YA UFUNDI STADI NA VIJANA KUJIAJIRI
UJENZI WA VETA 66 KUIMARISHA UJUZI NA AJIRA KWA VIJANA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Taifa, Fadhil Rajabu Maganya, amesema kuwa ujenzi wa VETA nchini pamoja na uwekaji vifaa na samani za kisasa katika vyuo hivyo itawezesha vijana kujifunza kwa vitendo na kupata ujuzi wa kujiajiri.
ELIMU YETU, CHACHU YA AJIRA KWA VIJANA
JARIDA LA MTANDAONI: Toleo Na.46, - 2025
JARIDA LA MTANDAONI: Toleo Na.46, - 2025
SERIKALI, HUAWEI WAUNGANISHA NGUVU KUKUZA ELIMU YA KIDIJITALI
Katika kuendeleza jitihada za Serikali za kuimarisha upatikanaji na ubora wa elimu katika ngazi zote nchini, Mhe. Wanu Hafidh, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Vincent Wen, Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Huawei.
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA KASI YA MAGEUZI YA ELIMU
Mageuzi ya Elimu nchini yataleta matokeo chanya katika kuandaa wahitimu mahiri na wenye ujuzi.

Hayo yamesemwa Januari 15, 2026 jijini Dodoma na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na michezo wakati wakipitishwa kwenye Muundo, majukumu na Sheria.

