MAKAMU WA RAIS NCHIMBI AZITAKA TAASISI ZA ELIMU KUIMARISHA TAFITI NA USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI
Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi,amezitaka Taasisi za elimu ya juu nchini kuimarisha tafiti na ubora wa elimu kwa kushirikisha Sekta binafsi,hasa katika Sayansi na Teknolojia, ili kuongeza ubunifu na kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji.



