TUHAKIKISHE KAMPASI MPYA ZA VYUO VIKUU ZINATOA MAFUNZO YA UJUZI

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesisitiza kuwa Vyuo Vikuu vinavyojenga kampasi mpya katika maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kampasi hizo zinajikita katika kutoa mafunzo ya ujuzi (Amali).



Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, wakati wa kikao kazi cha kimkakati kati ya Wizara na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS