SERIKALI YASEMA ELIMU BORA ITAENDELEA KUSIMAMIWA KWA UKARIBU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Emmanuel Nchimbi amewahakikishia watanzania kuwa Serikali itaendelea kusimamia sekta ya elimu na kuhakikisha elimu inayotolewa inaendelea kuwa bora.



