KUELEKEA SIKU 100 ZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA: SAMIA SCHOLARSHIP YATOA FURSA ZA MASOMO KIMATAIFA KWA VIJANA WA KITANZANIA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeendelea kutekeleza ahadi za Mhe. Samia Suluhu Hassan la utoaji ufadhili wa masomo kwa wanasayansi kupitia "Samia Scholarship" ili kuongeza wigo wa wanasayansi nchini ikiwemo sayansi ya Data na Akili unde

Swahili

KUELEKEA SIKU 100: MIKOPO YA ELIMU YAONGEZEKA MARADUFU, KAMPASI MPYA 16 KUJENGWA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu na diploma kutoka Shilingi Bilioni 460 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.2 ambayo ni makadirio ya mwaka wa fedha 2026/27

Swahili

PROF. MKENDA AWAAGA VIJANA 16 WANAOKWENDA KUSOMEA SAYANSI NA TEKNOLOJIA AFRIKA KUSINI KUPITIA SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewaaga vijana 16 watakaokwenda kusomea masomo ya sayansi na teknolojia katika Chuo Kikuu cha Johannesburg, Afrika Kusini kupitia mpango wa Samia Scholarship Extended.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS