Walimu ni Nguzo Muhimu kwa Mendeleo ya Elimu yetu - Prof. Nombo
Serikali imesema itaendelea kutoa mafunzo endelevu kwa Walimu nchini ili kuwajengea umahiri katika masomo na mafunzo wanayotoa ikiwa ni moja ya kipaumbele katika Sera ya Elimu Toleo la 2023.



