Airtel yaingia Makubaliano na Wizara ya Elimu Juu ya Utekelezaji Mradi wa Airtel Smart Wasomi

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Mradi wa Airtel Smart Wasomi umekuja wakati muafaka, wakati Serikali ikitekeleza Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 Toleo la 2023 ambapo matumizi ya Tehama katika mifumo ya Elimu yamepewa kipaumbele.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS