WyEST, TAMISEMI na Benki ya Dunia wamekutana na kufanya majadiliano na tathimini ya utekelezaji wa Mradi wa BOOST
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Rais TAMISEMI na Benki ya Dunia Machi 26, 2024 Jijini Dar es Salaam wamekutana na kufanya majadiliano na tathimini ya utekelezaji wa Mradi wa BOOST

Majadliano hayo yanafanyika mara baada ya kufanya ziara ya pamoja ya kujionea hatua za utekelezaji wa mradi huo katika maeneo mbalimbali nchini



