Prof Adolf Mkenda na viongozi mbalimbali wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza mazungumzo na Waziri wa Maendeleo na Afrika wa Uingereza

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda na viongozi mbalimbali wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza mazungumzo na Mhe. Andrew Mitchel Waziri wa Maendeleo na Afrika wa Uingereza Jijini Dodoma

Swahili

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024, Ndg. Godfrey Eliakimu Mnzava ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa jengo la maktaba

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024, Ndg. Godfrey Eliakimu Mnzava ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa jengo la maktaba, unaoendelea ndani ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.



Tukio hilo limeshuhudiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu wa wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mhe. Anne Makinda, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS