DIT YAPONGEZWA KWA KUTOA WAHITIMU MAHIRI KATIKA SEKTA YA TEKNOLOJIA YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA NGOZI NA SAYANSI YA MAABARA KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia QS Omary Kipanga ameipongeza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kuendelea kutoa Elimu Bora na wahitimu mahiri wenye uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali za kijamii kupitia Ujuzi wanaoupata wakiwa mafunzoni.



Naibu Waziri amesema hayo, Desemba 13, 2024 akimwakilisha Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Faustine Mkenda katika Mahafali ya kumi na nane Duru ya pili katika kampasi ya DIT Mwanza.

Swahili

TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE FURSA KWA WAANDISHI WA KISWAHILI

Wakati ni huu tunaendelea kupokea Miswada kwa ajili ya Tuzo ya Mwalimu ya Uandishi Bunifu mpaka kufikia tarehe 31 Desemba 2024.



Tunaendelea kuwafikia wadau mbalimbali wa Sanaa na leo 10 Desemba 2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, amekutana na waandishi bunifu wa tamthiliya nchini kupitia Bodi ya Filamu ili kutoa elimu juu ya Tuzo hiyo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS