MAHITAJI YA BINADAMU YAZINGATIWE KATIKA MASOMO YA MAENDELEO - PROF. MKENDA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema kuwa Masomo ya Maendeleo (Development Studies) yanapaswa kusaidia nchi zinazoendelea kufahamu mahitaji ya watu wao, kubaini mizizi ya changamoto na kuleta suluhisho jumuishi na endelevu



Hayo yamesemwa na Prof Daniel Mushi kwa niaba ya Waziri huyo Disemba 10 2024, Mkoani Morogoro wakati wa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Tatu wa Masomo ya Maendeleo ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Mzumbe,

Swahili

Dkt. Charles Mahera anashiriki mkutano wa Kimataifa wa Lishe ya Mtoto unaofanyika jijini Osaka nchini Japan

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Charles Mahera anashiriki mkutano wa Kimataifa wa Lishe ya Mtoto unaofanyika jijini Osaka nchini Japan.

Mkutano huo umewakutanisha viongozi na washirika mbalimbali kubadilishana uzoefu juu ya program mbalimbali za chakula na lishe kwa watoto shuleni.

Swahili

Dkt. Charles Mahera amewasili wilaya Bagamoyo tayari kushiriki na kutunuku vyeti katika Mahafari ya 32 ya Wanafunzi wa ADEM

Dkt. Charles Mahera, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Desemba 06, 2024 amewasili wilaya Bagamoyo tayari kushiriki na kutunuku vyeti katika Mahafari ya 32 ya Wanafunzi wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM)

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS