Tumieni Ujuzi, Maarifa na Ubunifu mlioupata kwenye Mafunzo haya ili Utekelezaji wa Mtaala wa Elimu ya Amali uwe na Tija kwa Taifa
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Wilson Mahera amesema katumieni Maarifa, Ujuzi na Ubunifu wote mlioupata katika Mafunzo haya kwa kutekeleza kwa vitendo katika kuwawezesha wadau wote wa Elimu waliopo kwenye maeneo yanayowazunguka ili utekelezaji wa Mtaala wa Elimu ya Amali Sekondari ulete Tija kwa Taifa



