Prof. Carolyne Nombo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo leo Januari 08, 2025 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Haruni Jeremia Mapesa.



Mazungumzo hayo yamefanyika kwa mara kwanza tangu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipomteua Prof. Mapesa kuwa Mkuu wa Chuo hicho Novemba 11, 2024.

Swahili

RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA SAYANSI ZA BAHARI YA UDSM-BUYU

Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Taaluma na Utawala la Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Buyu Zanzibar

Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi imefanyika leo Januari 05, 2025 na kuhudhuria na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dars Es Salam Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS