Watumishi wa WyEST nao hawakuwa nyuma wameshiriki Rombo Marathon
Watumishi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nao hawakuwa nyuma wameshiriki Rombo Marathon iliyofanyika Disemba 23,2024 Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjarao
Rombo inajivunia Maendeleo Makubwa katika Sekta ya Elimu - Prof Mkenda
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolokia Prof. Adolf Mkenda amesema Rombo inajivunia Maendeleo Makubwa katika Sekta ya Elimu

Akizungumza Disemba 23, 2024 wakati wa Rombo Marathon amesema kuwa wakati nchi inapata uhuru Rombo haikuwa na shule ya Sekondari lakini kwa sasa ina shule za sekondari 41.
PARTIAL SCHOLARSHIP TENABLE IN THE ARAB REPUBLIC OF EGYPT FOR THE ACADEMIC YEAR 2025/2026
1. Call for Application
WADAU WAELEZEA MAFANIKIO YA MRADI WA TESP
ELIMU YA AWALI NI MSINGI KWA WATOTO
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, leo Disemba 20, 2024 amezindua mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa Elimu ya Awali, yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Sokoine Memorial, mkoani Morogoro.
Mafunzo haya yanatekelezwa kupitia Programu ya BOOST kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais-TAMISEMI, yakilenga kuboresha ubora wa elimu ya awali nchini.
KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA, PROF. CAROLYNE NOMBO AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA ELIMU YA UALIMU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, leo Disemba 19, 2024, Jijini Dar es Salaam amefungua Mkutano wa Wadau wa Elimu ya Ualimu. Mkutano huu unalenga kujadili utekelezaji wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP) katika vyuo vya ualimu pamoja na utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mitaala iliyoboreshwa.

