DKT MASIKA AISHUKURU SERIKALI KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA MRADI MBALIMBALI DIT

Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Mhandisi Dkt. Richard Masika ameishukuru Serikali chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo amesema kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Taasisi hiyo imepata fedha za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS