CALL FOR EXPRESSION OF INTEREST FROM POTENTIAL INVESTORS FOR DEVELOPMENT, OPERATION AND MANAGEMENT OF THE UNIVERSITY OF DODOMA PROJECTS IN TANZANIA UNDER PUBLIC- PRIVATE- PARTNERSHIP (PPP) ARRANGEMENT

  1. 1.  The University of Dodoma (UDOM) is a Public Institution established in 2007 under the University of Dodoma Charter, 2007. It is strategically located within the Dodoma Region, the Capital City of Tanzania (More information is available at: https://udom.ac.tz/ ).
  2. 2.  The University of Dodoma has set aside several plots of land for investment purposes with a total size of 1,899,121.19 SQM located at the UDOM Main Campus, Dodoma, Tanzania.
Swahili

SERIKALI YAONGEZA KASI KUANZISHA MAKTABA ZA JAMII ; MAKTABA MPYA YAZINDULIWA MBINGA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za elimu kupitia uanzishaji wa maktaba za jamii nchini. Tarehe 2 Desemba 2025, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Hussein Mohamed Omar, alizindua Maktaba ya Jamii ya Maguu, Mbinga kituo kitakachotoa huduma kwa wananchi wa rika zote kwa kujumuisha.

Swahili

WAZIRI MKENDA APOKEA TAARIFA YA MWENENDO WA UTEKELEZAJI WA PROGRAM YA SAMIA SCHOLARSHIP DS/AI+

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, tarehe 27 Novemba 2025, amepokea taarifa ya mwenendo wa utekelezaji wa Programu ya Samia Extended Scholarship DS/AI+. Programu hii inalenga kufadhili wanafunzi wa Tanzania Bara na Zanzibar kusoma katika vyuo vikuu mahiri duniani, katika fani za kimkakati za Sayansi ya Data, Akili Bandia (Artificial Intelligence), na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2025/2027.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS