DKT. OMAR AZINDUA MPANGO WA UTEKELEZAJI MWONGOZO WA KUWAREJESHA SHULE WALIOKATIZA MASOMO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, amezindua Mpango wa Utekelezaji Mwongozo wa kuwarejesha shule wanafunzi waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali, hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa elimu inapatikana kwa kila mtoto nchini.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS