ONGEZENI KASI UJENZI WA MIUNDOMBINU DIT MWANZA IKAMILIKE KWA WAKATI - MHE. WANU AMEIR

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amemtaka Mkandarasi wa COMFIX & ENGINEERING kuongeza kasi ya ujenzi wa miundombinu ya Mradi wa Kujenga Ujuzi na Ushirikiano Afika Mashariki (EASTRIP ) katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza, ili ikamilike kwa wakati kulingana na maktaba.

Swahili

WIZARA YA ELIMU, TAMISEMI NA OFISI YA RAIS MAENDELEO YA VIJANA WAJADILI MIKAKATI YA KUWEZESHA VIJANA KIELIMU NA KIUCHUMI

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI na Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Disemba 11, 2025 wamekutana jijini Dodoma kujadili kwa pamoja mikakati ya kuimarisha ushirikiano katika kuwawezesha vijana wa Tanzania kupata fursa za elimu, ujuzi na ajira.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS