MAGEUZI YA ELIMU YATAWEZESHA VIJANA KUJENGA TAIFA LENYE NGUVU NA UCHUMI ENDELEVU

Serikali imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya elimu pamoja na kuongeza fursa za masomo katika ngazi mbalimbali. Miongoni mwa hatua hizo ni kuongezeka kwa bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kutoka Sh. bilioni 464 mwaka 2020/21 hadi Sh. bilioni 926.7 mwaka 2025/26.

Swahili

DIT YAJIVUNIA MRADI WA TELM II UNAOLENGA KUANZISHA KITUO CHA UJASIRIAMALI NA UBUNIFU - DKT. MASIKA

Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Dtk. Richard Masika ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Taasisi hiyo Mradi wa TELM II ambao umelenga kuanzisha Kituo cha Ujasiriamali, Ubunifu na Uhawilishaji wa Teknolojia.

Swahili

SERIKALI INAWATEGEMEA WANASAYANSI NA WAHANDISI KATIKA KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA NCHINI - PROF. MKENDA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa Serikali inawetegemea wanasayansi na wahandisi ili kufanikisha dhamira ya Tanzania ya kujenga uchumi wa viwanda, amesisitiza kuwa kundi hilo lina mchango katika kuendeleza ubunifu, kuongeza tija na kuleta maendeleo endelevu nchini.

Swahili

CALL FOR EXPRESSION OF INTEREST FROM POTENTIAL INVESTORS FOR DEVELOPMENT, OPERATION AND MANAGEMENT OF THE UNIVERSITY OF DODOMA PROJECTS IN TANZANIA UNDER PUBLIC- PRIVATE- PARTNERSHIP (PPP) ARRANGEMENT

  1. 1.  The University of Dodoma (UDOM) is a Public Institution established in 2007 under the University of Dodoma Charter, 2007. It is strategically located within the Dodoma Region, the Capital City of Tanzania (More information is available at: https://udom.ac.tz/ ).
  2. 2.  The University of Dodoma has set aside several plots of land for investment purposes with a total size of 1,899,121.19 SQM located at the UDOM Main Campus, Dodoma, Tanzania.
Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS