NAIBU WAZIRI WANU AMEIR APANDA MTI VETA CHEMBA DODOMA
Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akipanda Mti katika Chuo Cha VETA cha Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma.

Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akipanda Mti katika Chuo Cha VETA cha Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Wanu Hafidh Ameir amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chemba kwa ajili ya kukabidhi vifaa vya kufundishia na kujifunzia kwa VETA za Wilaya.
1. Call for Applications
The Ministry of Education, Science and Technology hereby informs interested Tanzanians of the opportunity to apply for Master’s Degree programmes offered through Princeton University and Williams College in the United States.
2. PRINCETON UNIVERSITY
Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI Novemba 24, 2025 zimekutana kupokea na kujadili mapendekezo ya maandalizi ya kuwapokea ya Wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na Elimu ya Sekondari hatua ya Chini mwaka January 2028.

Katika kikao hicho pia wamejadili Mpango wa Utekelezaji wa Mitaala Iliyoboreshwa ili kuhakikisha utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023.
The Ministry of Education, Science, and Technology hereby informs interested Tanzanians to apply for the Master of Advanced Studies in European and International Governance (MEIG Programme) Scholarship, offered by the University of Geneva in cooperation with the United Nations Office in Geneva.
1.0 Call for Application
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja na Naibu Waziri, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, wamewasili na kufanya kikao cha kazi na Wakurugenzi wa Wizara hiyo kama ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa majukumu yao.