UFUNGUZI WA MAONESHO YA TANO YA WIKI YA ELIMU UA JUU ZANZIBAR
Prof. Adolf Mkenda amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania Prof. Najat Mohammed aliyeteuliwa hivi karibuni na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
PROF. NOMBO ATETA NA USAID UTEKELEZAJI MAGEUZI YA ELIMU
*PROF. NOMBO ATETA NA USAID UTEKELEZAJI MAGEUZI YA ELIMU*

Na WyEST, Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amefanya mazungumzo na wajumbe kutoka Shirika la Kimarekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya elimu nchini Mkutano huo umefanyika Julai 10, 2024 Jijini Dodoma.

UFADHILI WA SAMIA (SAMIA SCHOLARSHIP); SHAHADA ZA UZAMILI (MSc) KATIKA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA: 2024/2025
PROF. NOMBO ATAKA KASI NA UFANISI UTEKELEZAJI MRADI WA HEET
PROF. NOMBO ATAKA KASI NA UFANISI UTEKELEZAJI MRADI WA HEET.
Taasisi zinazotekeleza Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) zimetakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji ili kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kwa ufanisi na kuleta matokeo chanya na mageuzi makubwa ya kiuchumi kwa jamii na nchi. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo akiongoza kikao cha 4 cha Kamati ya Kitaifa ya uendeshaji wa Mradi kilichofanyika Jijini Dodoma Julai 09, 2024.
VITUO SHIKIZI VYA SHULE. FINAL
Mradi wa EASTRIP Waipaisha NIT - Wawezesha Vifaa vya Mafunzo Kisasa
Hii si ndege ya kubeba abiria bali ni kati ya vifaa vinavyotumika kutoa mafunzo mbalimbali kwa wataalamu wa sekta ya anga ambapo takriban shilingi bilioni 49 zimetolewa kwa ajili ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kununua vifaa hivyo na ujenzi wa kituo cha umahiri.
Watekelezaji Mradi wa EASTRIP Utangazeni Mradi Huu - Nombo
Katibu Mkuu Prof Carolyne Nombo amezitaka Taasisi zinazotekeleza Mradi wa Afrika Mashariki wa Kujenga Ujuzi kwa Mlingano na Uingiliano wa kikanda (EASTRIP) kuhakikisha mradi huo wenye matokeo makubwa yenye manufaa kwa taifa unatangazwa.

Ameyasema hayo katika kikao cha 11 cha Kamati Tendaji ya Kitaifa ya Mradi wa EASTRIP kilichofanyika katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Jijini Dar es Salaam.
THE EXCELLENCE SCHOLARSHIP PROGRAM TENABLE IN MOROCCO FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR
THE EXCELLENCE SCHOLARSHIP PROGRAM TENABLE IN MOROCCO FOR THE 2024/2025 ACADEMIC YEAR

