Serikali Italipa Fidia kwa Wananchi ili Waachie eneo kwa ajili ya Upanuzi wa Chuo Kikuu cha Sokoine Kampasi ya Mizengo Pinda, Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa Serikali yake italipa fidia ya Shs. Bilioni 1 na Milioni 7 kwa wananchi ili waachie eneo kwa ajili ya upanuzi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, Kampasi ya Mizengo Pinda Mkoani Katavi

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS