DKT. HUSSEIN OMAR ATOA MAELEKEZO TET KUIMARISHA MATUMIZI YA TEHAMA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar, ameitaka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuendelea kuimarisha matumizi ya TEHAMA ili mitaala na vitabu viweze kuwafikia walimu na wanafunzi wengi na kwa urahisi.

Akiwa katika ziara yake Julai 22, 2025, alisisitiza pia umuhimu wa kutumia TEHAMA hususan katika maeneo yenye upungufu wa walimu, ili kuondoa pengo la kitaaluma katika mazingira hayo.

Swahili

DKT. HUSSEIN M. OMAR AFANYA ZIARA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA, ASISITIZA UMUHIMU WA MITIHANI INAYOZINGATIA UMAHIRI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar, tarehe 22 Julai 2025, amefanya ziara katika Ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania zilizopo jijini Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo, Dkt. Omar alipata fursa ya kukutana na uongozi wa Baraza na kujionea namna taasisi hiyo inavyotekeleza majukumu yake, hususan katika eneo la matumizi ya TEHAMA katika uendeshaji wa shughuli mbalimbali.

Swahili

DKT. HUSSEIN OMAR ATOA MAELEKEZO TET KUIMARISHA MATUMIZI YA TEHAMA 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar, ameitaka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuendelea kuimarisha matumizi ya TEHAMA ili mitaala na vitabu viweze kuwafikia walimu na wanafunzi wengi na kwa urahisi.

Akiwa katika ziara yake Julai 22, 2025, alisisitiza pia umuhimu wa kutumia TEHAMA  hususan katika maeneo yenye upungufu wa walimu, ili kuondoa pengo la kitaaluma katika mazingira hayo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS