MIUNDOMBINU YA BOOST YALETA TABASAMU SHULE YA MSINGI ILBORU
Shule ya Msingi Ilboru, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, imenufaika na ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa kupitia Mradi wa Kuimarisha na Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST), unaotekelezwa na Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia (WB).

