WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI KAMPASI YA MIZENGO PINDA – SUA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa majengo mapya ya Kampasi ya Mizengo Pinda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), iliyopo katika Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi. Kampasi hii imekuwa chachu ya maendeleo ya elimu na fursa kwa vijana wa eneo hili na taifa kwa ujumla tangu kuanzishwa kwake mwaka 2019.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS