TANZANIA YAPATA UZOEFU MAPINDUZI YA VIWANDA KUPITIA MILIKI BUNIFU
Katika jitihada za kuimarisha mfumo wa utafiti na ubunifu nchini Tanzania, ujumbe wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (WyEST) ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Prof. Daniel Mushi, umefanya ziara ya kimkakati nchini Korea Kusini mnamo tarehe 25 Machi, 2026.


