Wasimamizi wa mradi wa HEET kutoka katika Taasisi na Vyuo Vikuu 22 washiriki mafunzo ya Kuwajengea uwezo wa kukabiliana na Vihatarishi

Wasimamizi wa mradi wa Mageuzi ya Kiuchumi kwa Elimu ya Juu (HEET) kutoka katika Taasisi na Vyuo Vikuu 22 washiriki mafunzo ya wanajengewa uwezo kukabiliana na vihatarishi katika kutekeleza mradi huo ili kupunguza athari na kutimiza malengo ya mradi.

Mafunzo hayo ya siku tano yanafanyika katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ambayo yameanza tarehe 4 na yanatarajiwa kukamilika Disemba 8, 2023 Jijini Arusha chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS