Prof. Adolf Mkenda akionyesha zawadi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wageni walikwa

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akionyesha zawadi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wageni walikwa katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Zawadi hiyo imetolewa na Baraza hilo kwa Mhe. Rais

Swahili

Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea vitabu vya historia ya Miaka 50 ya NECTA kutoka kwa Prof. mkenda

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea vitabu vya historia ya Miaka 50 ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kutoka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania Dkt. Said Mohammed

Swahili

Mhe. Samia Suluhu Hasaan akipokea maelezo juu ya namna mitambo mbalimbali ya Baraza la Mitihani Tanzania inavyofanya kazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasaan akipokea maelezo juu ya namna mitambo mbalimbali ya Baraza la Mitihani Tanzania inavyofanya kazi wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza hilo yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam Disemba 16, 2023

Swahili

Mhe.Samia Suluhu Hasaan akipokea maelezo kutoka kwa watumishi wa Baraza la Mitihani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hasaan akipokea maelezo kutoka kwa watumishi wa Baraza la Mitihani la Tanzania kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Baraza hilo wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza hilo yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam Disemba 16, 2023

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS