Prof. Adolf Mkenda amekutana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kilimo na Mifugo cha Harper Adams

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknoljia Profesa Adolf Mkenda Mei 21, 2024 Jijini London amekutana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kilimo na Mifugo cha Harper Adams Prof. Ken Sloan

Chuo hicho kinatoa mafunzo kwa kutumia mfumo wa amali ambapo Prof Mkenda ametembelea kujionea namna wanavyoendesha programu hizo na kufanya mazungumzo ya kuanzisha uhusiano kati ya Chuo hicho na Vyuo Vikuu vinavyotoa mafunzo katika fani za Kilimo na mifugo nchini.

Swahili

Mageuzi ya Elimu Tanzania yatikisa Mkutano wa Elimu Duniani

Na WyEST
London Uingereza

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewasilisha Mada juu ya mageuzi ya Elimu Tanzania na kuwakosha wajumbe wa Mkutano wa Elimu Duniani unaofanyika London Uingereza.

Tanzania inashiriki katika Mkutano huo ulioleta pamoja nchi zaidi ya 200 Duniani kujadili maendeleo ya Elimu Duniani ikiwa ni nguzo kuu ya kuandaa Rasilimali watu wenye ujuzi ma mtaji mkubwa katika kuleta maendeleo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS