Walimu ni Chachu ya Mageuzi ya Elimu - Prof. Nombo

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Serikali inawathamini Walimu hivyo itaendelea kuweka mazingira wezeshi kuhakikisha wanatekeleza wajibu wako kikamilifu.



Prof. Nombo ametoa kauli hiyo leo Mei 14, 2024 wakati akizungumza na Walimu wa Shule ya Msingi Bombo jijini Tanga, akisema Ualimu ni taalamu muhimu sana katika kutoa maarifa bora kwa watoto wa Kitanzania.

Swahili

Prof. Nombo yupo jijini Tanga kukagua maandalizi ya Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo yupo jijini Tanga Mei 14, 2024 kukagua maandalizi ya Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayotarajia kuanza tarehe Mei 25 - 31 2024 katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS