ATC
Undefined
Viongozi wa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo wakijadiliana jambo na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Shaban Hamis Taletale katika viwanja Bunge leo Mei 08, 2024.

Prof Adolf Mkenda na Mhe. Omari Kipanga wakifuatilia mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia unaendelea leo Mei 08, 2024 Bungeni
