Mafunzo ya Mtaala ulioboreshwa kwa walimu wakuu 57 wa shule za msingi za Serikali na zisizo za Serikali

Mafunzo ya Mtaala ulioboreshwa kwa walimu wakuu 57 wa shule za msingi za Serikali na zisizo za Serikali yanaendelea katika Mkoani Kilimanjaro lengo ni kuongeza ufanisi katika usimamiaji wa utekelezaji wa Mtaala huo nchini.



Mafunzo hayo ya siku mbili yameanza Juni 11, 2024 ambapo yanaendeshwa na Waratibu kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja pamoja pamoja na OR TAMISEMI.

Swahili

Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti kuhusu hali ya Upatikanaji wa Elimu bora kwa watoto wanaoishi katika Makazi Duni na yasiyo Rasmi Mijini

Asasi ya Kiraia nchini iitwayo @HakiElimu imezindua Ripoti ya Utafiti kuhusu hali ya upatikanaji wa elimu bora kwa watoto wanaoishi katika Makazi duni na yasiyo rasmi, Mijini ambao unatarajia kusaidia kuboresha upatikanaji wa elimu kwa watoto wanaoishi katika makazi duni nchini Tanzania.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS