EGYPT GOVERNMENT SCHOLARSHIP UNDER THE EGYPTIAN AGENCY OF PARTNERSHIP FOR DEVELOPMENT FOR 2024/2025

  1. Call for Application

The Ministry of Education, Science, and Technology is pleased to announce to the general public that the Egyptian Agency for Partnership for Development (EAPD) is offering fully funded four-year Bachelor's degrees in Political Science at the Faculty of Economics and Political Science, Cairo University. Qualified Tanzanian students are invited to apply for the 2024/2025 academic year. Classes are scheduled to begin in October, 2024.

Swahili

Rais Samia akutana na Mwalimu wake aliyemfundisha wakati akisoma IDM Mzumbe

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akutana na Mwalimu Sabina Geleja aliyemfundisha wakati akisoma katika Chuo hicho kilipokuwa kikiitwa IDM Mzumbe pamoja na Mwanafunzi aliyesoma naye Dkt. Stella Kinemo wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu Mzumbe Agosti 4 Agosti, 2024

Swahili

Prof. Carolyne Nombo na Prof. Peter Msofe wamewasili katika eneo la Maekani Kampasi Kuu Morogoro

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu katika Wizara hiyo Prof. Peter Msofe Agosti 04, 2024 tayari wamewasili katika eneo la Maekani Kampasi Kuu Morogoro kushuhudia uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu Mzumbe utakaofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Swahili

COMMONWEALTH MASTER’S AND PhD SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE UNITED KINGDOM 2025

1.0  Call for Application

The Commonwealth Scholarship Commission in the UK (CSC) administers the UK government’s Commonwealth scholarship scheme led by international development objectives. Since 1960, the CSC has funded over 30,000 individuals to study in the UK and gain skills, acquire knowledge and build networks to tackle global development challenges.

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS