Ujumbe wa UNICEF umekutana na kuzungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda

Ujumbe wa UNICEF ukiongozwa na Bi. Elke Wisch umekutana na kuzungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda leo Agosti 22. 2024 Jijini Dodoma ukiwa na lengo la kumtambulisha Bi. Simone Vis Mkuu wa kitengo cha Elimu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) ambaye amehamishiwa nchini Tanzania akitokea Sudan

Swahili

Prof. Adolf Mkenda amekutana na Prof. Daniel Elius Mushi na Dkt. Wilson Mahera Charles

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na Prof. Daniel Elius Mushi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya juu pamoja na Dkt. Wilson Mahera Charles Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu msingi baada ya kuripoti jana tarehe 20 Agosti, 2024.

Swahili

Prof. Carolyne Nombo akiwatambulisha kwenye Menejimenti ya Wizara hiyo Dkt. Wilson Mahera CharlesProf. Mushi

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo akiwatambulisha kwenye menejimenti ya Wizara hiyo Prof. Daniel Elius Mushi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya juu pamoja na Dkt. Wilson Mahera Charles Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu msingi.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS