PARTIAL SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE PEOPLE’S DEMOCRATIC REPUBLIC OF ALGERIA FOR THE ACADEMIC YEAR 2024-2025

  1. Call for Application

The Ministry of Education, Science, and Technology is pleased to announce to the general public that the People’s Democratic Republic of Algeria is offering scholarships to Tanzanian students at Bachelor's degrees in Medical Sciences,Veterinary Science,Sciences and Technologies,Matter sciences,Agricultural Sciences,Mathematics and Computer,sciences of Nature and Life,Sciences of the Earth and Life,Literature and Foreign Languages,Architecture,Urban Planning and City Professions

Swahili

Prof. Mkenda ameendesha kikao cha kujadili Miradi ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Vyuo Vikuu.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Agosti 10, 2024 ameendesha kikao cha kujadili Miradi ushirikiano kati ya sekta binafsi na vyuo vikuu.



Miradi hiyo inayopendekezwa kutekelezwa kwa utaratibu wa Ushirikiano huo ni kutoka Chuo Kikuu cha Dar es (UDSM) Salaam, Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) na Chuo Kikuu cha Dodoma

Swahili

Rais Samia amezindua Jengo Mtambuka la Mafunzo la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Agosti 6, 2024 amezindua jengo Mtambuka la Mafunzo la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)



Jengo hilo lina madarasa nane, Ofisi kumi na moja, Maabara nane na Vyumba vya Kuhifadhia Kemikali saba pia jengo hilo lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,205 kwa mara moja.

Swahili

Prof. Adolf Mkenda amewasili tayari kumpokea Rais Samia kwa ajili ya kuzindua Jengo la Mafunzo Mtambuka la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo

Mambo yanaanza kuwa Moto Mwenye dhamana ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewasili tayari kumpokea Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kuzindua Jengo la Mafunzo Mtambuka la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo

Swahili

Prof. Carolyne Nombo amewasili kuungana na Wageni mbalimbali kushuhudia Uzinduzi Jengo la Mafunzo Mtambuka

Kunogile SUA....Prof. Carolyne Nombo Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia tayari amewasili kuungana na viongozi wadau na wageni mbalimbali kushuhudia historia ikiandikwa ya Serikali ya Tanzania kuendelea kuimarisha ubora ,umahiri na fursa za elimu ya juu nchini.



Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhyya Muungano wa Tanzania atazindua Jengo la Mafunzo Mtambuka ambalo litakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 3,000.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS