Wadau mbalimbali wa sekta ya Elimu elimu

Wadau mbalimbali wa sekta ya Elimu elimu Agosti 20,2024 wanaendelea na majadiliano pamoja na kutoa maoni ya uboreshaji wa rasimu ya Mapitio ya Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu 2021/2022 - 2025/2026



Mpango huo umefanyiwa maboresho kutokana na mabadiliko mbalimbali yaliyopo katika Sekta ya Elimu ikiwemo kuanza kwa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu iliyoboreshwa

Swahili

Mhe Dkt. Philip Mpango anatembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Wilaya ya Mpwapwa

Leo Agosti 20, 2024 Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango anatembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.



Viongozi mbalimbali na Wananchi akiwemo Mkurugenzi wa Elimu, ya Ufundi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Fredrick Salukele wakiwa katika eneo hilo.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS