Baadhi ya Wageni waalikwa waungana na Wakazi wa Kizimkazi tayari kushuhudia Uzinduzi wa Dahalia ya Wanafunzi wa Kike

Baadhi ya Wageni waalikwa waungana na Wakazi wa Kizimkazi tayari kushuhudia Uzinduzi wa Dahalia ya Wanafunzi wa Kike katika Skuli ya Sekondari Kizimkazi Dimbani Kisiwani Unguja.



Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda anatarajiwa kuzindua Dahalia hiyo hii leo Agosti 24, 2024.

Swahili

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU FURSA YA UFADHILI WA MASOMO KWA WANACHUO WA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUMU KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025

 

1.0    UTANGULIZI

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza fursa ya Ufadhili wa Masomo ngazi ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu Maalumu. Maombi yanakaribishwa kwa wanachuo wanaosoma, Stashahada ya Elimu maalumua katika maeneo yafuatayo: Ulemavu wa Akili, Usonji, Uziwi, Uziwi Kutoona na Ulemavu wa Uoni. 

2.0      SIFA ZA KUPATA UFADHILI

Ufadhili huu utatolewa kwa wanafunzi wenye sifa zifuatazo:

Swahili

WIZARA INAENDELEA KUTEKELEZA MAAGIZO YA MH. RAIS DKT. SAMIA KUWA IFIKAPO 2027/2028 KILA KATA IWE NA SEKONDARI

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kimaghai ‘’A’’ Wilayani Mpwapwa umetokana na Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP), na kwamba Wizara inaendelea kutekeleza maagizo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha kila Kata ina shule ya Sekondari ifikapo mwaka 2027/2028.  

Swahili

Kamati ya Bunge Yaridhishwa na Ubora Ujenzi Chuo cha Ualimu Dakawa

Monekano wa Baadhi ya majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Dakawa ambapo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imetembelea na kumeridhishwa na Utekelezaji wa Mradi huo.



Majengo mapya ya 32 yanayojengwa katika chuo hicho yatawezesha Chuo kudahili Walimu tarajali 1000 ambapo ni ongezeko la wanafunzi 500 kutoka hali ilivyo sasa.

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS