Viongozi wa Daruso wa sasa na Waliopita Wakutana

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema mageuzi ya Elimu yanayotekelezwa Nchini yanalenga kupata wahitimu mahiri wenye ujuzi ili waweze kushiriki kikamilifu katika shughuli za  ujenzi wa uchumi.

Waziri Mkenda ameeleza hayo Agosti 30, 2024 Mkoani Pwani  katika Mkutano wa waliokuwa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) akimwakilisha Rais Mstaafuu wa Tanzania DKt. Jakaya Kikwete.

Swahili

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UOMBAJI WA MASOMO CHUO KIKUU NCHINI MISRI KWA NJIA YA MTANDAO KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025

1.0    UTANGULIZI

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inapenda kuujulisha umma wa Watanzania kuwa mlango wa kuombea masomo nchini Misri kwa mwaka 2024/2025 ngazi ya Chuo Kikuu (Shahada ya Kwanza na Shahada ya Pili) kwa wanafunzi wa kitanzania kupitia mtandao umefunguliwa.  

2.0    UTARATIBU WA KUOMBA UFADHILI

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS