Shule 100 za Mafunzo ya Amali Kujengwa Nchini - Prof Mkenda

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali inajenga Shule 100 za Mafunzo ya Amali Uhandisi, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi na kuwa mahiri.


Prof. Mkenda amesema hayo Oktoba 01, 2024 Mkoani Tanga wakati wa uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Miles & Kimberly White, ambapo amesema Wizara inaendelea kusimamia mageuzi ya Elimu, ikiwemo kuweka msukumo wa mafunzo ya amali yanayojikita kwenye ujuzi zaidi.

Swahili

Karibu katika Mfumo mpya wa uanzishaji na usajili wa Shule (SAS)

Karibu katika Mfumo mpya wa uanzishaji na usajili wa Shule (SAS). Sajili kupitia sas.moe.go.tz

Mfumo huu unanza rasmi kutumika tarehe 01 Oktoba, 2024.

Mfumo ni Maalum kwa Wadau wote wanaohitaji kuanzisha na kusajili Shule za Awali, Awali na Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu.

Pia mfumo unatumika kufanya maboresho au mabadiliko ya taarifa za shule au Chuo.

Kwa msaada na mwongozo zaidi tupigie 0784263198 au 0717915175

Au unaweza kuwasiliana nasi kupitia Kituo cha Huduma kwa Wateja kwa namba 0262160270 au 0737962765

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS