KATIBU MKUU PROF. CAROLYNE NOMBO AELEZEA MASOMO YA LAZIMA KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA AMALI
FDC INA ANDAA VIJANA WENYE UJUZI NA MAHIRI
WANAFUNZI WASHUKURU KWA KUPATIWA SHULE YENYE MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA
MATUKIO MBALIMBALI KATIKA UZINDUZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMIA SULUHU HASSAN
NAMTUMBO MKOANI RUVUMA.
SERIKALI ITAENDELEA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA ELIMU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaendelea kupanua Mfuko wa Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuwezesha watoto wakitanzania kusoma bila wasiwasi wowote.
HAKIKISHENI MRADI WA PROGRAMU YA KUIMARISHA KADA YA UALIMU UNAKAMILIKA KWA WAKATI DKT. MAHERA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Charles Mahera Wilson amewataka watekelezaji wa Programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu (GPE- TSP) kusimamia ukamilishaji wa miradi kwa wakati.
UJENZI KAMPASI KUU YA MJNUAT KUPITIA MRADI WA HEET WASHIKA KASI
WATAKAOJIUNGA ELIMU YA AMALI KUSOMA MASOMO MATANO YA LAZIMA
UTEKELEZAJI WA ELIMU YA LAZIMA MIAKA 10 KUANZA 2027/28
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 kuhusu elimu ya lazima kuwa ya miaka 10 utaanza Mwaka 2027/28 ambapo wahitimu wa elimu ya msingi ya miaka 6 watakutana na wahitimu wa mwisho wa elimu ya msingi ya miaka saba wote wataanza kidato cha kwanza.

