RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AAGIZA SHULE KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Swahili
Picha za matukio mbalimbali wakati wa Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma uliofanyika Septemba 28, 2024 katika Uwanja wa Majimaji Songea.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiwa katika Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wa kuhitimisha ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma
