Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuzindua Ofisi na Maabara ya Teknolojia ya Nyuklia Zanzibar

Hayo yamesemwa leo Nov, 07, 2024 Jijini Dodoma  na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ambapo Mkenda amesema kuwa miundombinu hii ni ya kisasa na inaendana na Azma ya Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania Dkt Samia Saluhu Hasana ya kutaka huduma muhimu ya uthibiti wa matumizi ya Nyuklia ipelekwe karibu na Wananchi.

Swahili

WALIMU WAKUU 17,793 WAWEZESHWA MAFUNZO YA UONGOZI NA USIMAMIZI WA SHULE KUPITIA MRADI WA BOOST

Serikali kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) imewezesha mafunzo Walimu Wakuu 17,793 katika Mikoa 26 ya Tanzania Bara kuhusu uongozi na usimamizi wa Shule.



Hayo yamesemwa Novemba 06, 2024 mkoani Katavi na Mkurugenzi wa Elimu ya Awali na Msingi Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Abdul Maulid akizungumza katika halfa ya kuhitisha mafunzo hayo kitaifa ambapo amewataka walimu kusimamia ustawi na usalama wa wanafunzi shuleni.

Swahili

Dkt. Charles Wilson Mahera akikagua mabanda kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wanaotekeleza Afua za vijana Balehe Nchini

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia masuala ya Elimu Dkt. Charles Wilson Mahera akikagua mabanda kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wanaotekeleza Afua za vijana Balehe Nchini.



Mkutano huu unalenga kujadili utekelezaji na hamasa katika kuwekeza afua hizo umeanza hii leo Octoba, 31 na utatamatika tarehe 1, Novemba, 2024. Mkutano huo unafanyika katika Viwanja vya Hotel ya St. Gaspar

Swahili

Pages

Subscribe to Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia RSS